HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 16, 2013

WATOTO MAKETE NA BIASHARA YA MKAA

 Mkaa ukiwa sokoni makete amabo unauzwa sh. 2000 na watoto hao ambapo kwa mujibu wa maelezo yao wamesema wanatumwa na wazazi wao kufanya hivyo
Hapa wakijiandaa kuugawa mkaa huo kidogo kidogo ili wautembeze mitaani kusaka wateja
 Waangalie wafanyabiahsra hawa, ambao kwa mtazamo wangu wanatakiwa wafanyekazi moja kubwa ambayo ni kusoma
 Wakitafakari cha kufanya
 Anazunguka mitaani kutafuta wateja
Akitafakari jambo, sijui kachoka ama vipi maana hii biashara duuuuuuh!

1 comment:

  1. hizo shule unazosema ni za bure au za kulipia? na ushapata maelezo ya kutosha mpaka unaandika hivyo? habari kamili ni ubora wa kazi yako. mdau holland

    ReplyDelete

Post Bottom Ad