HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 16, 2013

Rais Kikwete azindua kampeni ya lishe jijni dar

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mama Maria Nyerere, Naibu Waziri wa Afya Dr. Seif Rashid wakipozi na wakuu wa mikoa mbalimbali waliohudhuria sherehe za uzinduzi wa kampeni ya Lishe Bora leo viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mama Maria Nyerere, Naibu Waziri wa Afya Dr. Seif Rashid wakipozi na marafiki wa maendeleo na wafadhili waliohudhuria sherehe za uzinduzi wa kampeni ya Lishe Bora leo viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mama Maria Nyerere, Naibu Waziri wa Afya Dr. Seif Rashid wazalishaji vyakula na vinywaji mbalimbali waliohudhuria
Mama Salma Kikwete akimpongeza Mama Maria Nyerere kwa kupokea tuzo kwa niaba ya Baba wa Taifa katika kutambua mchango wake katika kuendeleza lishe katika sherehe za uzinduzi wa kampeni ya Lishe Bora leo viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam

  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni ya uongezaji wa virutubishi  vya Vitamni A katika vyakula vinavyo zalishwa Viwandani,Uzinduzi huo ulifanyika katika kiwanda cha kuzalisha mafuta cha Bidco kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
 .Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimimina  mafuta ya virutubishi  katikia kinu cha kutengeneza mafuata ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa Kampeni ya Uongezaji wa Virutubishi vya Vitamini A katika Vyakula vinavyozalishwa  viwandani ,uzinduzi huo ulifanyika jana katika Kiwanda cha Bidco  kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam, kushoto anayeshuhudia ni Afisa Mkuu Mtendaji wa Kiwanda hicho Hemal Shah.
.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi zawadi ya ndoo ya mafuta yenye Virutubishi  yaliyozailishwa na nKiwanda cha Bidco Mkurugenzi Mkuu wa Chakula na Lishe Bw.Benedict Jeje wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni ya Uongezaji wa virutubishi katika Vyakaula vinavyo zalishwa Viwandani .Uzinduzi huo ulifanyika katika kiwanda cha Bidco kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam. katikati ni Afisa Mkuu Mtendaji wa Kiwanda hicho Hamal Shah.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia baadhi ya mafuta yenye Virutubishi yanayozalishwa katika kiwanda cha Bidco  kilichopo Mikocheni jijini Dar es Da es Saloaam.kulia ni Afisa Mkuu Mtendaji wa Kiwanda hicho Hamal Shah ,wakati alipokwenda kufanya nuzinduzi rasmi  wa Kampeni mya Uongezaji wa nVirutubishi katika Vyakaula vinavyozalishwa Viwandani.
.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa  na Afisa  Mkuu Mtendaji wa  Kiwanda cha Bidco Hamal Shah,moja ya ndoo za mafuta ya kupikia ambayo tayari yamewekwa virutubishi  wakati alipotembelea  kiwanda hicho kuzindua rasmi Kampeni ya Uongezaji waVirutubishi katika Vyakula vinavyozalishwa Viwandani .Uzinduzi huo ulifanyika katika kiwanda cha Bidco kilichopo jijini Dares Salaam.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza kwa makini Afisa Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha  Kutegeneza Mafuta cha Bidco,Bw.Hemal Shah  alipokuwa akielezea jinsi wanavyotengeneza bidhaa zao za mafuata zenye kuchanganywa na  virutubisho vyenye Vitamnini A. Wakati Rais alitembelea kiwanda cha Bidco  kilichopo Mikocheni jijini Dar es nSalaam, kuzindua rasmi Kampeni ya uongezaji wa virutubishi katika Vyakula vinavyo zalishwa Viwandani .
Rais Dkt.Jakaya Kikwete akikaribishwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha  Kutengeneza Mafuta cha Bidco Bw.Hemal Shah  wakati alipokwenda kufanya uzinduzi  rasmi wa kampeni ya uongezaji wa virutubishi  vya Vitamni A katika vyakula vinavyo zalishwa Viwandani katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Said Meck Sadick.PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad