Tamasha la Utamaduni la kila mwaka Mtemi Milambo Festival limezinduliwa Jumatatu 13/5/2013 uwanja wa Taasisi mkoani Tabora.
Mgeni rasmi alikuwa Naibu Meya wa Tabora Mhe. Waziri Mlenda ambaye katoa wito kwa wananchi kuuenzi utamaduni wao kwani msahau kwao ni mtumwa. Kauli mbiu ya Tamasha hili mwaka huu ni KUSHOKE KUKAYA yaani turudi nyumbani tafsiri ya Kiswahili toka kinyamwezi. Pichani Naibu Meya wa Tabora Mhe. Waziri Mlenda katika uzinduzi rasmi wa Tamasha hilo. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa
No comments:
Post a Comment