HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 14, 2013

Mambo ya Chem Chem za Mjini

Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es salaam wakipita kwenye chemba linalo tiririsha maji taka yaliochanganikana na kinyesi baada ya kuziba lililoko karibu na Zahanati ya mwenge manispaa ya kinondoni jijini Dar es salaam hivyo nakuleta kero kwa wapiti njia wa eneo hilo.ambapo jitihada zakuzibua haijulikani itakuwa lini.
Hapa ndivyo chemba linavyoonekana likiwa linatiririsha maji taka yenye harufu kali.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad