Maofisa wa Jeshi kutoka Chuo cha Ukamanda na Unadhimu cha Ghana, wakitembelea Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam, kwa lengo la kujenga ushirikiano katika nyanja za Sayansi, Teknolojia, Kiuchumi na Kijamii.Maofisa wanaosoma katika chuo hicho wanatoka Afrika Kusini, Nigeria, Ivory Coast, Togo, Rwanda na Ghana.
Meneja Uhusiano wa TBL, Doris Malulu (kulia) akitoa maelezo kwa maofisa hao kuhusu shughuli mbalimbali za kampuni hiyo.
Maofisa wa Jeshi wakitembelea kiwanda hicho
Maofisa wa Jeshi wakipata maelezo jinsi bia inavyopikwa kwa kutumia kompyuta
Maofisa wakiwa na baadhi ya watalaamu wa maabara ya TBL
Mpishi wa Bia wa TBL, Kelvin Nkya akiwaeleza maofisa hao jinsi bia inavyochachuliwa
Meneja wa Kiwanda cha Bia cha TBL Dar es Salaam, Calvin Martine (kushoto) akimkabidhi zawadi.
Maofisa wa Jeshi wakiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa TBL baada ya kumaliza ziara.PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
No comments:
Post a Comment