Meneja wa Uhusiano wa PPF, Lulu Mengele akimkaribisha mjumbe wa bodi ya SSRA, Kabeho Solo katika banda la PPF.
Ofisa wa Uwekezaji wa PSPF, Hamidu Ngororo akiwaeleza wajumbe wa SSRA mradi wa nyumba za bei nafuu za wanachama zilizopo Dar es salaam, Mtwara, Tanga, Shinyanga na Morogoro.
WajumbewaBodiya
SSRA wakiwa katika viwanja vya monyesho vya Nyerere Square mjini Dodoma
kutoka kushoto ni Juma Muhimbi, Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka,
Jayne Nyimbo na Kabeho Solo.
Mkuu
wa Kitengo cha Uhamasishaji cha SSRA, Sara Kibonde akifurahia jambo na
Wakuu wa Mifuko ya GEPF, Daud Msangi na mfuko wa LAPF, Eliud Sanga.
No comments:
Post a Comment