HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 3, 2013

Mahakama ya Ndizi Mabibo haipitiki wala haiingiliki

Soko la Mabibo maarufu kama mahakama ya ndizi likiwa limejaa matope kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam hivi sasa,hali inayopelekea baadhi ya wafanya biashara wa sokoni hapo kuwa na wakati mgumu wa kufanya biashara zao.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad