HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 30, 2013

Kampeni ya Kuhakikisha Jiji letu linakuwa Safi,Yazidi shika kasi

 Ile kampeni ya Manispaa za jiji la Dar kupiga sop sop maeneo mbali mbali ya jiji,imekuwa ikizidi kushika kasi huku mafanikio makubwa yakionekana.Hapa ni pembezoni mwa Barabara ya Ali Hassan Mwinyi karibu kabisa na Msikiti wa Wahindi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad