Meneja Masoko wa Barclays, Rahma Ngassa (kushoto) akizungusha pipa la bahati nasibu ya Beki hiyo ijulikanayo kama ‘Maisha Bomba na Barclays Benki kupitia kampeni yake ya ya Sanduku la Dhahabu. Wengine pichani ni Mwakilishi wa Michezo ya Kubahatisha, Humud Abdulhussein, Meneja wa Mawasiliano wa Barclays,Tunu Kavishe na Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa za Barclays Samwel Mkuyu.
Meneja Masoko wa Barclays, Rahma Ngassa (kushoto) pamoja na viongozi wenzake wa Barclays Meneja wa Mawasiliano wa Barclays,Tunu Kavishe (katikati) na Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa za Barclays Samwel Mkuyu wakiangalia pipa la bahati nasibu ya Beki hiyo ijulikanayo kama ‘Maisha Bomba na Barclays Benki kupitia kampeni yake ya ya Sanduku la Dhahabu wakati wa kuchezesha droo za bahati nasibu hiyo leo
Mmoja
wa wateja wa benki ya Blarclays ambaye pia ni Mwandishi wa Habari wa
Magazeti ya Serikali, Regina Kumba akichagua moja ya majina katika droo
ya bahati nasibu ya Beki hiyo ijulikanayo kama ‘Maisha Bomba na
Barclays Benki kupitia kampeni yake ya ya Sanduku la Dhahabu. Jumla ya
washindi 13 walipatikana katika droo hiyo. Kutoka kushoto ni Meneja
Masoko wa Barclays, Rahma Ngassa, Meneja wa Mawasiliano wa Barclays,Tunu
Kavishe, Mwakilishi wa Michezo ya Kubahatisha, Humud Abdulhussein na
Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa za Barclays Samwel Mkuyu.
No comments:
Post a Comment