Dereva wa Gari hii iliyopigwa pasi mchana wa leo maeneo ya Mikocheni B,jijini Dar es Salaam akimuelezea mwenzake hali halisi ya tukio lilivyokuwa mpaka kupelekea gari yake kuumia nanma hiyo.
Mashuhuda wa Tukio hilo wakimsikiliza kwa makini mzee wa feva ambaye alikuwa akipita katika njia hiyo na kukutana na tukio hilo.hakuna aliumia katika ajali hiyo.
No comments:
Post a Comment