Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe.Dr Hamid Nassoro akipata ufafanuzi wa huduma zilizotolewa na NHIF wakati wa maadhimisho ya wiki ya elimu kwa wote ambayo yaliyoadhimishwa kitaifa mkoani Lindi hivi karibuni,anayetoa maelezo kulia mwenye miwani ni msimamizi wa ofisi ya NHIF Lindi Fortunata Raymond.
afisa wa NHIF mkoa wa Lindi Laurent Hoja akishiriki kuchangia damu kwenye benki ya damu salama ili iweze kusaidia wananchi wenye mahitaji.
Elimu kwa Umma ilitolewa kuhusu umuhimu wa kujiunga na bima ya afya na mifuko ya afya ya jamii(CHF) kwenye banda la NHIF,kama ambavyo wanafunzi wa sekondari ya Lindi kushoto Anthony Lwinde na Cosmas Nindye wakipata elimu ya kujiunga na chf kwa mfumo wa kikundi cha wanafunzi watano watano kutoka kwa afisa wa mfuko Dr. Beatrice Mwakipesile wakati wa maadhimisho hayo.
No comments:
Post a Comment