HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 14, 2012

Vimwana wa Redd's Miss Dar City Center 2012 waingia kambini kiromo hotel bagamoyo

 Vimwana wa Redd's Miss Dar City Center 2012 wakiwa kwenye pozi la picha katika kambi yao waliyoweka ndani ya Hoteli ya Kiromo iliyopo Bagamoyo Mkoani Pwani.Warembo hao wameanza rasmi kambi yao hiyo leo ikiwa sehemu ya maandalizi ya onyesho lao linalotaraji kufanyika siku ya ijumaa,katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dar.
 Warembo wa Redd's Miss Dar City Center 2012wakiwa kwenye pozi la namna nyingine.
 Warembo wa Redd's Miss Dar City Center 2012 wakionyesha umahiri wao wa kutoa burudani kwa mashabiki wa o siku hiyo ya onyesho. 
Mwalimu wa Katwork wa warembo hao akienda sambamba na baadhi yao huku wengine wakigelezea.
Ticha wa Dansi wa warembo hao akiwapa somo wanafunzi wake.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad