HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 7, 2012

RAIS KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA CANADA IKULU JIJINI DAR LEO

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi wa Canada nchini, anayemaliza muda wake wa uwakilishi, Bw Robert J. Orr walipokutana Ikulu jijini Dar es Salaam leo Juni 7, 2012.PICHA NA IKULU
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Canada nchini,Bw Robert J. Orr aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam leo kwa lengo la kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa uwakilishi hapa nchini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad