HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 13, 2012

Wanafunzi 8 kutoka vyuo vitatu nchini kudhaminiwa na TCRA kwenye masomo ya ICT

Mkurugenzi wa Mamalaka ya Mawasiliano Tanzania Profesa John Nkoma wa Nne kutoka kushoto akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa waliofanikiwa kupata ufadhili wa Kusoma masomo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT) akiwaonyesha matumizi ya Kompyuta baada ya kuwakabidhi zawadi hiyo. Jumla ya wanafunzi Nane kutoka Vyuo vya Ardhi, Dodoma na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,wamenufaika na ufadhili huo wa kusomeshwa na TCRA hadi watakapohitimu masomo yao.
Mkurugenzi wa Mamalaka ya Mawasiliano Tanzania Profesa John Nkoma (kulia) akimkabidhi Muhagachi Chacha, Laptop, baada ya kupata udhamini wa kusomeshwa na TCRA Masomo ya uhandisi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT) jumla ya wanafunzi Nane Jumla ya wanafunzi Nane kutoka Vyuo vya Ardhi, Dodoma na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,wamenufaika na ufadhili huo wa kusomeshwa na TCRA hadi watakapohitimu masomo yao.(Picha na Mdau Albart Jackson)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad