Mshambuliaji machachari wa Timu ya Simba,Haruna Moshi "Boban" (katikati) akiwasili kwenye chumba cha kuhifadhia Maiti kwenye Hospitali ya Taifa,Muhimbili jijini Dar es Salaam leo kwa kuangalia Mwili wa Mchezaji Mwenzake aliefariki Dunia alfajiri ya leo kwa ajali ya Gari,Patrick Mafisango.
Huzuni imetala kwa wachezaji wa Simba kwa kumpoteza Mwenzao.
Gari alilopata nalo ajali Patrick Mafisango linavyoonekana.
No comments:
Post a Comment