HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 17, 2012

Mchezaji wa Timu ya Simba,Patrick Mafisango afariki Dunia kwa ajali ya Gari jijini Dar

Taarifa iliyotufikia hivi muda mfupi uliopita,inaeleza kuwa Mchezaji wa Timu ya Simba ya Jijini Dar es Salaam na Timu ya Taifa ya Rwanda,Patrick Mafisango (pichani) amefariki Dunia kwa ajali ya Gari usiku wa Kuamkia leo.

Chanzo ya ajali yake iliyosababisha kifo chake,bado haijajulikana na tunaendelea kufuatilia ili kupata undani wake.hivyo tutaendelea kupeana taarifa kadri zitakavyopatikana 

Mungu amlaze Mahala Pema Peponi
Mchezaji Patrick Mafisango.

Amen.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad