Kikosi cha Twiga Stars
Kikosi cha Banyana Banyana
Beki wa Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars), Fatuma Hatibu akijaribu kumzuia mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Afrika Kusini (Banyana Banyana),Andisne Mgloyi wakati wa mchezo wa Kimataifa wa kujipima nguvu uliofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
heka heka hapa
Mgeni Rasmi katika Mchezo huo,Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Amos Makala akisalimiana na wachezaji wa Twiga Stars kabla ya kuanza kwa mchezo huo.
Kocha wa Twiga Stars,Boniface Mkwasa akiwa ameduwaa baada ya vijana wake kupata kipigo cha bao 5-2.
No comments:
Post a Comment