HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 20, 2012

airtel yafanya utambulisho kabambe wa huduma yao mpya ya supa 5 ndani ya coco beach,jijini dar

Mmoja wa wasanii wa kufoka foka,akionesha umahiri wake wa kughani jukwaani wakati kampuni ya simu za mikononi ya Airtel, ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi  wa huduma  mpya ya airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.
Mmoja wa wafanyakazi kutoka timu ya mauzo ya kampuni ya Airtel akiinadi modem ya Airtel 3.75G yenye kasi zaidi kuliko zote nchini,wakati kampuni hiyo ,ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi  wa huduma  mpya ya airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.
Mmoja wa wasanii wa kufoka foka,aliyejitambulisha kwa jina moja la Rich akimwaga mistari wakati kampuni ya simu za mikononi ya Airtel, ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi  wa huduma  mpya ya airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.shoo kubwa ya uzinduzi kufanyika kesho jumapili hapo hapo coco beach siku nzima
Baadhi ya timu ya mauzo kutoka kampuni ya Airtel wakiuza bidhaa mbalimbali za kampuni hiyo wakati wa kampuni hiyo ,ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi  wa huduma  mpya ya Airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.
Baadhi ya Wasanii wa kikundi cha Kinoko,kutoka Mwananyamala wakitumbuiza jukwaani mbele ya umati wa watu (hawapo pichani),mapema jana jioni wakati  kampuni ya simu za mikononi ya Airtel, ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi  wa huduma  mpya ya airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.
Wateja wapya mbalimbali wakiendelea kuhamia Airtel, wakipata maelezo toka kwa wawakilishi wa kampuni ya simu za mikononi ya Airtel, ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi  wa huduma  mpya ya airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.
Sehemu ya umati wa watu waliofika wakati kampuni ya simu za mikononi ya Airtel, ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi  wa huduma  mpya ya airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad