Lango Kuu la kuingilia Sokoni
ubavuni mwa soko hilo.
Biashara mbalimbali ndani ya soko la Iringa.
Mboga kibao soko la Iringa,yaani ukilala njaa basi umetaka Mwenyewe.
Viazi ulaya ndio usiseme.
Majiko,nyungozz,mifagio na vingine kibao viapatikana sokoni hapa.
No comments:
Post a Comment