Leo katika pita pita zangu mitaa ya Kihesa,Mkoani Iringa nilikutana na Mnyama huyu akikata mitaa huku watu walikuwa wakitumia njia hiyo kupita mbali na alipo Mnyama huyu.
No comments:
Post a Comment