Wachezaji wa timu ya soka ya Taifa (Taifa Stars), wakiwa wamebeba mwili wa aliyekuwa mchezaji wa timu ya Simba, marehemu Patrick Mafisango, tayari kutolewa heshima za mwisho leo kwenye viwanja vya TCC Chang'ombe, Dar es Salaam.
Msafara wa mwili wa Mafisango ukiongozwa na Trafiki, kuingia viwanja vya TCC Chang'ombe, Dar es Salaam leo

Mchungaji akiendesha ibada maalumu ya kuuaga mwili wa marehemu Mafisango
Sehemu ya umati wa waombolezaji waliofika kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Mafisano. Picha na Dotto Mwaibale.
No comments:
Post a Comment