Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasha mwenge wa Uhuru wakati alipozindua mbio za mwenge huo kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikabidhi mwenge wa Uhuru kwa Kiongizi wa Mbio za Mwenge Taifa,Ernest Mwanosa wakati alipozindua mbio za mwenge huo kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya leo.
No comments:
Post a Comment