Maandamano ya Wafanyakazi wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani iliyofanyika Kimkoa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mwantumu Mahiza (katikati) akiwaongoza wafanyakazi wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani iliyofanyika Kimkoa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo.
Mratibu wa TUCTA mkoa wa Dar es Salaam, Mussa Mwakaringa akizungumza katika Maadhimisho hayo.
Baadhi ya Wafanyakazi wakiwa kwenye kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.Picha na Francis Dande.
No comments:
Post a Comment