HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 1, 2012

Kevin Costa na Noreen Kiwia wameremeta na kuwaka waka

 Maharusi wakiwalisha ndafu wapambe wao katika mnuso wa kumeremeta kwao wikiendi ilopita katika ukumbi wa Selous wa JB Belmont Hotel jijini Dar es salaam.
 Bwana na Bibi Harusi wakijiandaa kukata ndafu
 Bwana Harusi akimlisha my wife wake keki
  Maharusi wakifurahia chakula
 Maharusi wakitoka kupakua chakula
 Bibi Harusi akimlisha ndafu my husband wake
Bwana Harusi Kevin Costa na my wife wake Noreen Kiwia wakiteta jambo

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad