Ndugu,
Ujumbe huu unakujia kwa sababu naamini wewe ni blogger.Sisi kama bloggers,tunawajibika kuwa na maadili au misingi yetu.Kinyume cha hapo kazi zetu,msukumo wetu unaonekana kuwa wa kiholela kama sio kihuni.Isitoshe,ni uonevu kwa wengine.Hapa nazungumzia maadili ya bloggers.Upo mchakato unaoandaliwa ili kuwa na maadili ya pamoja zaidi.Tunausubiri kwa hamu.
Lakini wakati tukiusubiri mchakato huo utimie,nimeona nigawane nawe maarifa haya(kizuri kula na nduguyo).Ni maadili ya bloggers.Nimeyachapa katika wavu wangu.Nakuomba ufuate kiunganishi hiki
Mwambie na yeyote yule ambaye unadhani anaweza kufaidika na ujumbe huu.Ukiweza uchapishe katika jukwaa lako.Pamoja tutafika.
Asante na uwe na siku njema
Jeff
No comments:
Post a Comment