HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 15, 2012

Libeneke la Mtaa kwa Mtaa lazidi kuchanja mbuga mkoani Iringa leo

Mzee wa Mtaa kwa Mtaa nikikatiza Maeneo ya Kitanzini kuelekea Maeneo ya Ipogolo,Iringa mchana wa leo.
Stendi Kuu ya Mabasi,Mkoani Iringa leo.
Abiria wakisubiria usafiri.
Kina mama wakichambua Njegere pembezoni mwa njia ya kuelekea Soko Kuu la Iringa.
Nikipita anda graundi ya kuelekea Ipogolo
Hapa ndio panaitwa Kitanzini (wenye kufuata historia ya mji huu wa Iringa wanapaelewa vyema hapa.)
Biashara ya viatu.
Mama lishe akiandaa mambo ya Mchana.
 Mdau akipandisha kilima na baiskeli huku vitoweo vyake vikiwa kwenye mfuko.
 Kilaji cha Ulanzi kikiingia mjini.
 safari ni hatua.
 Makopo ya plastiki ni dili kila kona siku hizi.
 Muhogo wa Iringa huo.
Eneo la kutengeneza viatu vya matairi.
 pamba zimetandazwa.
 Mnara wa Mwenge maeneo ya Posta.
 Halmashauri ya Iringa.
 Kalia bomba.

1 comment:

  1. siamini mji mzima wa Iringa una makao ya halmashauri mbovu namna hii? hembu karibuni Dodoma mjionee halmashauri ya Dom ilivyopamba tena imejengwa miaka ya sitini, nadhani Iringa mnahitaji jengo jipya. Majid Mjengwa kama tulivyokuwa tukisema miaka ya sabini "Wananchi wa Iringa wanahaki ya kuringa".

    ReplyDelete

Post Bottom Ad