HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 11, 2012

KUMBE HUYU SAMAKI SIKU ZINGINE HUWA ANAGOMA KUTOA MAJI..!!!

Mara nyingi nikipita katika eneo hili la kuvutia,huwa namkuta samaki huyu akitoa maji mdomoni,tena kwa wingi tu.lakini siku kadhaa zilizopita nikakuta kanuna kweli kweli huku akiwa hatoi tena maji kama nilivyozoea kuona.sasa sijui kuna siku zingine huwa anagoma??

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad