Dada Amina Ismail akila kiapo cha ndoa huku Mumewe,Simon Collery akishuhudia wakati wa hafla fupi ya ndoa yao hiyo iliyofanyika kwenye bustani ya Hoteli ya Atriums,iliyopo Sinza Afrika Sana,jijini Dar es Salaam mwishoni kwa wiki iliyopita.
Maharusi wakiwa kwenye picha ya pamoja na ndugu na Jamaa katika ufukwe wa Kunduchi Beach jijini Dar.Kulia ni Dada Dinnah Zubeir ambaye ni Dada wa Biharusi.
Picha ya pamoja.
Keki ya Asili kutoka Mkoani Tabora.
No comments:
Post a Comment