HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 14, 2012

Grand Malt yafanya Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya "Excel With Grand Malt 2012" mkoani iringa leo

  Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Joh Makini akitoa shoo kali kwa wanafunzi wa vyuo vitatu vya elimu ya juu vya mkoani Iringa (Tumaini,Mkwawa na Ruaha),waliofika kwenye Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,lililofanyika kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini,Mkoani Iringa jioni ya leo.
 Wachezaji wa Timu ya Chuo Kikuu cha Mkwawa Mkoani Morogoro,Wakishangilia ushindi wao Pamoja na Muwakilishi wa Kampuni ya Bia Tanzania Kanda ya Nyanda za Juu Kusini,Masumbuko Changwe (wa pili kulia mwenye fulana ya rangi ya chungwa) wakati wa Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,lililofanyika kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini,Mkoani Iringa jioni ya leo.
 Wachezaji wa Timu ya Chuo Kikuu cha Mkwawa Mkoani Morogoro,Wakishangilia ushindi wao bao 1-0 dhidi ya timu ya Chuo Kikuu cha Tumaini,wakati wa Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,lililofanyika kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini,Mkoani Iringa jioni ya leo.
 Muwakilishi wa Kampuni ya Bia Tanzania Kanda ya Nyanda za Juu Kusini,Masumbuko Changwe (kulia) akikabidhi zawadi mbali mbali kwa washindi walioshiriki Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini,Mkoani Iringa jioni ya leo.
 Warembo kutoka Grand Malt wakifatilia Bonanza hilo.
 Muwakilishi wa Kampuni ya Bia Tanzania Kanda ya Nyanda za Juu Kusini,Masumbuko Changwe akizungumza na Washiriki wa Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini,Mkoani Iringa jioni ya leo.
 Mtatibu wa Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,Bw. Victor (kulia) amkaribisha Muwakilishi wa Kampuni ya Bia Tanzania Kanda ya Nyanda za Juu Kusini,Masumbuko Changwe kuzungumza na Wanafunzi hao kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini,Mkoani Iringa jioni ya leo.
 Wadau

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad