HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 8, 2012

Elizabeth Peter ndie Redd's Miss Ukonga 2012

Redd's Miss Ukonga 2012,Elizabeth Peter (katikati) akifurahia ushindi wake huo kwenye fanali kali ya kumsaka Mrembo wa Kitongoji hicho cha Ukonga ilifanyika usiku wa kuamkia jana jijini dar es salaam.kulia ni mshindi wa pili Marry Chizzi na mshindi wa tatu ni Stella Morisi
Tano Bora.
Washiriki wote.
Warembo wakisakata dansi stejini ikiwa ni shoo yao kwa watazamaji.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad