HAWA NI BAADHI YA WANAFUNZI WA DARASA LA KWANZA KATIKA SHULE YA MSINGI MAKUMBUSHO YA JIJINI DAR ES SALAAM WAKIWA DARASANI, SIJUI WAPO WANGAPI, WATOTO HAWA HULAZIMIKA KILA MWEZI KULIPA Tsh 1000 YA MTIHANI WA MWEZI,Tsh 1500 YA MTIHANI WA TERM,Tsh500 YA KILA SIKU YA UJI HAPO BADO TIUSHENI,USAFI, MLINZI,LEBO,VIDUMU,FAGIO, NA MADAFTARI PIA HULAZIMISHWA KUNUNUA HAPOHAPO.
PICHA NA MDAU.
Ndio kikwetw ayaone,mana hawezi kuadabisha watendaje wake,yy anajua kuwabadlisha wakishashiba matumbo yao.Tutafika kweli?
ReplyDeleteHiyo shule ipo mjini mambo ndio hayo hao wa kijijini inakuwaje?