HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 15, 2012

castle lager super fan ndani ya fukwe ya Mbalamwezi jijini dar

Meneja wa Bia ya Castle Lager,Kabula Nshimbo akikabidhi zawadi mbali mbali kwa Washindi wa Michezo ya soka kwenye Bonanza la Kufunga ligi kuu ya England na kuzinduliwa kwa kampeni ya kumsaka Supa Fans wa Castle atakaeungana na fans wengine wa nchi za Bara la Afrika kuunda timu ya Afrika United na kwenda kushangilia kwenye mashindano ya Afri Con nchini Afrika ya Kusini
Meneja wa Bia ya Castle lager,Kabula Nshimo (wa pili kulia) akikabidhi Kombe wa Nahodha wa Timu fans wa facebook waliopo katika kurasa ya facebook ya Castle Lager Tanzania walioibuka kidedea kwenye bonanza la kufunga ligi kuu ya England na kuzinduliwa kwa kampeni ya kumpata shabiki bora (Supre Fan) atakaeweza kuungana na washabiki wengingine kutoka nchi mbali mbali Barani Afrika kwenda kushuhudia fainali za Mashindano ya Afrika,nchini Afrika ya kusini.Bonanza hilo liliandaliwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia Bia yake ya Castle Lager kwenye fukwe ya Mbalamwezi jijini Dar Es Salaama.
Furaha ya ushindi kwenye bonanza la kufunga ligi kuu ya England na kuzinduliwa kwa kampeni ya kumpata shabiki bora (Supre Fan) atakaeweza kuungana na washabiki wengingine kutoka nchi mbali mbali Barani Afrika kwenda kushuhudia fainali za Mashindano ya Afrika,nchini Afrika ya kusini.
 Raha ya ushindi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad