Wapenzi wa timu ya soka ya Manchester united na wateja wa mtandao wa simu za mkononi wa airtel wakiwa katika picha ya pamoja na kombe la ligi kuu ya uingerezal katika hafla fupi iliyoandaliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kuwawezesha wateja wake kushuhudia kombe la ligi kuu ya uingereza ambalo limeletwa na timu ya Manchester United kushirikiana na Airtel nchini Tanzania, hafla hiyo imefanyika katika hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam mwisho wa wikiendi hii.
Mkurugenzi wa fedha wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania Kalpesh Mehta(wa kwanza kushoto) akikabidhiwa jezi namba kumi ya timu ya Manchester united na mchezaji wa zamani wa timu hiyo Quinton Fortune katika hafla fupi iliyoandaliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kuwawezesha wateja wake zaidi ya 200 kushuhudia live kombe la ligi kuu ya uingereza ambalo limeletwa na timu ya manchester united kushirikiana na Airtel nchini Tanzania, katikati ni mchezaji mchezaji mstaafu wa timu ya Manchester united Gary Bailey hafla hiyo imefanyika katika hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam mwisho wa wikiendi hii.
Mkurugenzi wa dawati la ufundi wa shirikisho la soka Tanzania Bw.Sunday Kayuni akikabidhiwa jezi namba tisa ya timu ya Manchester united na mchezaji wa zamani wa timu hiyo Gary Bailey katika hafla fupi iliyoandaliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kuwawezesha wateja wake kushuhudia kombe la ligi kuu ya uingereza ambalo limeletwa na timu ya iManchester united kushirikiana na Airtel nchini Tanzania, wa kwanza kulia ni mchezaji mstaafu wa timu ya Manchester united Quint Fortune, hafla hiyo imefanyika katika hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam mwisho wa wikiendi hii.
Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari za michezo Tanzania Bw,Juma Pinto na mshabiki mkubwa wa timu ya Liverpool akiwa amevalia jezi ya Manchester United mara baada ya kukabidhiwa jezi hiyo na wachezaji wa zamani wa timu ya Manchester united katika hafla fupi iliyoandaliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kuwawezesha wateja wake kushuhudia kombe la ligi kuu ya uingereza ambalo limeletwa na timu ya Manchester united kushirikiana na Airtel nchini Tanzania, kulia ni mchezaj wa zamani wa timu ya Manchester united Quinton Fortune na kushoto mchezaji wa zamani wa timu hiyo Gary Bailey,hafla hiyo imefanyika katika hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam mwisho wa wikiendi hii.
Waandishi wa habari za michezo wa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na kombe la ligi kuu ya uingereza katika hafla fupi iliyoandaliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kuwawezesha wateja wake kushuhudia kombe la ligi kuu ya uingereza ambalo limeletwa na timu ya Manchester united kushirikiana na Airtel nchini Tanzania,hafla hiyo imefanyika katika hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam mwisho wa wikiendi hii.
No comments:
Post a Comment