Mwanamuziki wa kizazi kipya Suma Lee mwenye wimbo unaotamba Bongo wa Hakunaga ambao umeshinda tuzo ya wimbo bora kwenye Kili Award,pichani Suma Lee akivinjali mitaa ya New York City.
Suna Lee (kulia) akiwa Dean Nyalusi mitaa ya kati Times Square, Suma Lee yupo njiani kuelekea Columbus, Ohio kwenye shughuli za Kimuziki
Suma Lee (shoto) akiwa na mwenyeji wake NY Ebra mitaa ya Tines Square New York City.
Suma Lee akipata akishoo love moment NYC
Suma Lee akiwa mitaa ya New York City Jumatatu April 23, 2012.
Suma Lee akipata menu jijini Nyew York
Suma Lee akiinjoi usafiri wa Treni ndani ya New York Citym
Suma Lee akiwa shimoni kwenye usafiri wa Treni.Picha na NY Ebra wa Vijimambo NY
No comments:
Post a Comment