Shear illusions waunauzaji vipodozi, mawigi na bidhaa za nywele kwa JUMLA.Kama una salon au duka la rejareja, tembelea duka la Shear illusions lililopo Kijitonyama, Millenium Towers, gorofa ya kwanza. Utapata mawigi na bidhaa Bora za kutunza nywele kama vile mafuta na dawa za kuondoa mba kichwani, mafuta ya kukuza nywele, shampoo, relaxer, conditioner, treatment, vilainisho, vingarishi na dawa za kufunika mvi. Bidhaa zetu ni za ubora wa juu sana. Tembelea duka letu leo ufaidike kwa kupata bidhaa bora.
No comments:
Post a Comment