Habari zako ndugu,
Sisi ni Watanzania tunaoishi Canada tunaanzisha kipindi kinachoitwa 'Watumishi wa Injili Mnasemaje' kitakachokuwa kinaletwa na MilcaGospelTV na kurushwa na Agape TV Network hapo Dar.kipindi cha kwanza kimeanza kurushwa Ijumaa hii ya April 27 saa 6.30-7 jioni.
Host wa kipindi hiki ni mwimbaji wa siku nyingi wa nyimbo za kuabudu anayeitwa Milca Kakete alishawahi kutoa kanda inayoitwa 'Yesu Niko Mbele zako' na hivi karibuni kanda yake mpya inatarajiwa kutoka inayokwenda kwa jina la 'Mwanangu Njoo'.
youtube unaweza pata nyimbo baadhi za Milca Kakete.
Mungu akubariki.
Iwapo utapenda kupata habari zaidi tafadhali wasiliana nasi kwa mawasiliano hapo chini:
facebook: milca kakete au
No comments:
Post a Comment