HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 23, 2012

Rais Kikwete amfariji mjane wa Mutharika,aweka shada la maua kaburini

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Malawi, marehemu Profesa Bingu wa Mutharika,wakati wa mazishi yaliyofanyika shambani kwa marehemu Ndata,wilayni Thyolo nje ya jiji la Blantyire nchini Malawi leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Malawi, marehemu Profesa Bingu wa Mutharika,wakati wa mazishi yaliyofanyika shambani kwa marehemu Ndata,wilayni Thyolo nje ya jiji la Blantyire nchini Malawi leo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa Marehemu Rais Wa Malawi Bingu wa Mutharika, Bi Calista Mutharika wakati wa ibada ya mazishi iliyofanyika kijijini kwa marehemu Ndata,Wilayni Thyolo, nje ya jiji la Blantyire, Malawi leo.picha na Freddy Maro.

1 comment:

  1. kwakweli Rais Kikwete angekuwa hodari wa kupambana na wahujumu uchumi kama alivyo hodari wa kuhudhuria mazishi Tanzania yetu isingeporomoka kiasi hiki.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad