Meneja Mauzo wa Kampuni ya Ndege ya Emirates Tanzania,Lyidia Kibonde akitoa ufafanuzi wa namna ya kutumia huduma ya Smart Point inayotolewa na Kampuni ya Galileo By Travelport kwa Mawakala wa kuuza tiketi za Ndege nchini wakati wa semina ya siku moja iliyofanyika leo kwenye ukumbi wa Lemmon Tree,Hoteli ya JB Belmont Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkuu wa Kitengo Mafunzo wa Galileo By Travelport,Robert Maina.
Ofisa Mipango wa Kampuni ya Galileo By Travelport,Rehema Issa akielekeza jambo kwa Mawakala wa kuuza tiketi za Ndege nchini wakati wa semina ya siku moja iliyofanyika leo kwenye ukumbi wa Lemmon Tree,Hoteli ya JB Belmont Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo Mafunzo wa Galileo By Travelport,Robert Maina akitoa mafunzo kwa Mawakala wa kuuza tiketi za Ndege nchini wakati wa semina ya siku moja iliyofanyika leo kwenye ukumbi wa Lemmon Tree,Hoteli ya JB Belmont Jijini Dar es Salaam.
Muendeshaji wa Semina hii alikuwa ni Dada Khadija Kellow wa Galileo By Travelport.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Ndege ya Emirates,Lyidia Kibonde akifafanua jambo kwa Mawakala wa kuuza tiketi za Ndege nchini wakati wa semina ya siku moja iliyofanyika leo kwenye ukumbi wa Lemmon Tree,Hoteli ya JB Belmont Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mauzo wa Shirika la Ndege la Emirates Tanzania,Lubna Mohamed akitoa ufafanuzi wa namna ya kuuza tiketi za Ndege yao wakati wa semina hiyo.
Baadhi ya Mawakala kuuza tiketi za Ndege nchini,wakiuliza maswali mbali mbali juu huduma hiyo mpya ya Smart Point wakati wa semina hiyo.
Semina ikiendelea.
No comments:
Post a Comment