HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, April 25, 2012

kumbukumbu


Marehemu Omwana Maria Nestor

Leo tarehe 25.04.2012,Mama yetu mpendwa atakuwa amefikisha Miaka mitano tangu alipotutoka,Kutakuwa na Missa katika kanisa la St. Joseph Cathedral 25.04.2012 Saa Saba Mchana mpaka saa Saba na Nusu. Ndugu jamaa na marafiki wote mnakaribishwa  kujumuika kwa pamoja missa hiyo kanisani hapo.

Sweet Jesus, take this message, to our dear mother up above tell her, how we miss her, And give her our love.

If tears could build a stairway and memories a lane, we’d walk right up to heaven and bring you home again. If love could have saved you, you would have lived forever, but grief is the price we pay for your love.

For everything we shared the dreams, the laughter and the tears, we love you with a special love.

May your soul rest in piece.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad