HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 26, 2012

huu ndio ubebaji wa Taka Jijini Dar

Pamoja na kwamba Gari hilo la kubebeba taka kuwa limejaa kupita kiasi chake,lakini bado jamaa hawa wanaendelea kupakia Taka kwenye gari hilo kana kwamba ni tupu kabisa.matokeo yake ni kwamba kila kona linapokatika gari hili utaona uchafu umezagaa barabarani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad