HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 26, 2012

Haya Mashimo Hapa Mwananyamala Hospitali yazidi kuwa kero

Haya ni baadhi ya mashimo yaliyopo pale Mwananyamala Hospitali jijini Dar ambayo ni makubwa sana kiukweli na yanaudhi sana.maana yanaumiza magari hasa yale ambayo yako chini chini.hebu pata picha uko na Ferrari yako brandi nyuu halafu unakutana na mashimo ya namna hii,hali inakuwaje hapo??

2 comments:

  1. I think Dar ina zidi kuwa kero sio mwananyamal tu.

    ReplyDelete
  2. INATIA AIBU HASA KWA MJI MKUBWA KAMA DAR,KILA KITU SHAGHALA BAGHALA,SIJUI TUTAPATA VIONGOZI GANI WANAO JALI MJI UWE MARIDADI HATA KWA MACHO YA WAGENI WANAOKUJA BONGO.DUU NAFIKIRI TUSUBIRI MPAKA MWISHO WA DUNIA

    ReplyDelete

Post Bottom Ad