HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 24, 2012

BALOZI SEIF IDDI AFUNGUA MKUTANO WA KUJADILI CHANGAMOTO ZINAZOKABILI SEKTA YA MAJI KATIKA AFRIKA

Makamu wa pili wa rais wa Zanzibar Balozi seif Ali Iddi akihutubia wajumbe waliohudhuria katika mkutano wa kujadili changamoto zinazoikumba sekta ya maji katika nchi za Afrika ambapo wajumbe 60 kutoka nchi mbalimbali za Afrika walihudhuria mkutano huo unaofanyika katika Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam..
Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Dk Shukuru Kawambwa akimkaribisha mgeni Rasmi kutoa hotuba yake katika mkutano huo.
Baadhi ya wajumbe waliohuduria kwenye mkutano huo wakimsikiliza mgeni rasmi hayupo pichani ambaye ni Balozi Seif kwa makini.
Kikundi cha ngoma kinachofahamika kama Aya yolu Thieter kikitoa Burudani katika mkutano huo.
Makamu wa pili wa rais wa Zanzibar Balozi seif Ali Iddi Katikati akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe waliohudhuria kwenye mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad