HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, March 31, 2012

Rais Mstaafu,Mh. Mkapa afunga rasmi kampeni za CCM jimbo la Arumeru Mashariki leo





Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowasa akiwasili kwenye  viwanja vya kijiji cha King'ori kata ya Leguruki wakati wa Mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo Arumeru Mashariki leo.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin William Mkapa akisalimiana na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kwa tikeki ya CCM,Sioi Sumari wakati akiwasili kwenye Mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo uliofanyika leo katika kijiji cha King'ori kata ya Leguruki.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Mkapa pamoja na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kwa tikeki ya CCM,Sioi Sumari wakisalimia wananchi wakati wakiwasili kwenye Mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo uliofanyika leo katika kijiji cha King'ori kata ya Leguruki.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Mkapa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowasa wakati akiwasili viwanjani hapo.

Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin William Mkapa akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kwa tikeki ya CCM,Sioi Sumari kwenye Mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo uliofanyika leo katika kijiji cha King'ori kata ya Leguruki.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin William Mkapa akihutubia kwenye Mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo Arumeru Mashariki uliofanyika leo katika kijiji cha King'ori kata ya Leguruki.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowasa akisalimia wananchi wa kijiji cha King'ori kata ya Leguruki wakati wa Mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo Arumeru Mashariki leo.
Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowasa akiwasili kwenye  viwanja vya kijiji cha King'ori kata ya Leguruki wakati wa Mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo Arumeru Mashariki leo.

kwa picha zaidi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad