HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 30, 2012

Mh. Lowasa aunguruma Arumeru leo


 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowasa akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Sioi Sumari kwenye Mkutano wa Kampeni uliofanyika leo katika Viwanja vya Kikatiti,Wilayaru Arumeru Jijini Arusha.
 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowasa akihutubia kwenye Mkutano wa Kampeni uliofanyika leo katika Viwanja vya Kikatiti,Wilayaru Arumeru Jijini Arusha.
 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowasa akiwasili katika Viwanja vya Kikatiti,Wilayaru Arumeru Jijini Arusha leo tayari kwa ajili ya Mkutano wa Kampeni za Jimbo hilo.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowasa akisalimiana na Mbunge wa Mwibara,Mh. Kangi Alphaxad Ndege Lugola,Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu),Mh. Stephen Wasira pamoja na Mbunge wa Kilwa Kaskazini,Mh. Murtaza Mangungu.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowasa akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM,Mh. Wilson Mukama.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki wa tiketi ya CCM,Sioi Sumari (aliesimama) akizungumza na Mh. Lowasa.
Maandamano ya Waendesha PikiPiki wa Mji wa Monduli leo.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowasa akisalimiana na Katibu Mkuu wa UVCCM,Martin Shigela.
Rais Mstaafu,Mh. Benjamin Mkapa akiwasili kwenye viwanja vya Tengeru Wilayani Arumeru Mashariki kwa ajili ya Mkutano wa Kampeni za Ubunge Jimbo hilo.
Viongozi.
Wapenzi wa CCM Arumeru Mashariki.
Waheshimiwa Wabunge.



Suma Lee mzee wa Hakunaga akifanya vitu vyake.
Morani wa Kimasai.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad