Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa kujadili jinsi ya kuyaweka masuala ya kinywa na meno katika hatua ya awali ya kupata huduma. Jumla wa wajumbe kutoka nchi 18 wanahudhuria mkutano huo wa siku tatu unaofanyika hoteli ya Courtyard jijini Dar es Salaam.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia wakati Rais wa chama cha madaktari wa Kinywa na Meno Nchini Dk. Rachel Mhavile akionesha kadi ya uanachama wa heshima ya chama hicho ambayo Rais Kikwete akitunukiwa wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kujadili jinsi ya kuyaweka masuala ya kinywa na meno katika hatua ya awali ya kupata huduma. Jumla wa wajumbe kutoka nchi 18 wanahudhuria mkutano huo wa siku tatu unaofanyika jijini Dar es Salaam.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo maalumu toka ka Rais wa chama cha madaktari wa Kinywa na Meno Nchini Dk. Rachel Mhavile wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kujadili jinsi ya kuyaweka masuala ya kinywa na meno katika hatua ya awali ya kupata huduma. Jumla wa wajumbe kutoka nchi 18 wanahudhuria mkutano huo wa siku tatu unaofanyika hoteli ya Courtyard jijini Dar es Salaam.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisoma jarida la Meno Tanzania alilokabidhiwa na Rais wa chama cha madaktari wa Kinywa na Meno Dk. Rachel Mhavile mara baada ya kufungua mkutano wa siku tatu wa kujadili jinsi ya kuyaweka masuala ya kinywa na meno katika hatua ya awali ya kupata huduma . Jumla ya wajumbe kutoka nchi 18 wanahudhuria mkutano huo unaofanyika jijini Dar es Salaam.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru Rais wa chama cha madaktari wa Kinywa na Meno Nchini Dk. Rachel Mhavile baada ya kumkabidhi tuzo kutokana na juhudi zake za kuhamasisha masuala ya kinywa na meno ndani na nje ya nchi . Rais Kikwete alikuwa mgeni rasmi katika mkutano wa siku tatu wa kujadili jinsi ya kuyaweka masuala ya kinywa na meno katika hatua ya awali ya kupata huduma ambapo jumla ya wajumbe kutoka nchi 18 wanahudhuria mkutano huo.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea jambo la Rais wa chama cha madaktari wa Kinywa na Meno Nchini Dk. Rachel Mhavile wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kujadili jinsi ya kuyaweka masuala ya kinywa na meno katika hatua ya awali ya kupata huduma. Jumla wa wajumbe kutoka nchi 18 wanahudhuria mkutano huo wa siku tatu unaofanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wajumbe wanahudhuria mkutano wa siku tatu wa kujadili jinsi ya kuyaweka masuala ya kinywa na meno katika hatua ya awali ya kupata huduma wakimsikiliza Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete (hayupo pichani) wakati akifungua mkutano huo. Jumla ya wajumbe kutoka nchi 18 wanahudhuria mkutano huo unaofanyika jijini Dar es Salaam.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais wa chama cha madaktari wa Kinywa na Meno Nchini Dk. Rachel Mhavile (kulia) na Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali Dk. Donnan Mmbando baada ya kufungua mkutano wa siku tatu wa kujadili jinsi ya kuyaweka masuala ya kinywa na meno katika hatua ya awali ya kupata huduma ambapo jumla ya wajumbe kutoka nchi 18 wanahudhuria mkutano huo.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe kutoka nchi 18 wanahudhuria mkutano wa siku tatu wa kujadili jinsi ya kuyaweka masuala ya kinywa na meno katika hatua ya awali ya kupata huduma unaofanyika jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment