HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, March 6, 2012

Rais Dk. Shein akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Masuala ya Sera na Miradi,Kitengo cha UN Women

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Masidizi Katibu Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji wa Masuala ya Sera na Miradi,Kitengo cha UN Women,Mr John Hendra,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Maidizi Katibu Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji wa Masuala ya Sera na Miradi,Kitengo cha UN Women,Mr John Hendra,pamoja na ujumbe aliofuatana nao walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Maidizi Katibu Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji wa Masuala ya Sera na Miradi,Kitengo cha UN Women,Mr John Hendra,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo ambapo pia maafisa mbalimbali wa Serikali walihudhuria.Picha na Ikulu ya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad