HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, March 1, 2012

NHIF YAZINDUA BODABODA KWA AFYA NA CHF MKOANI RUVUMA

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa taifa wa bima ya afya,Bw. Hamisi Mdee akimkabidhi mmoja wa viongozi wa kikundi cha waendesha pikipiki wa bodaboda cha yeboyebo cha manispaa ya songea jaketi la usalama barabarani litalalowawezesha watumiaji wengine wa barabara kuona kirahisi wawapo barabarani. Hafla hiyo fupi ilifanyika katika hospitali ya mkoa wa ruvuma na kushuhudiwa na wadau mbalimbali wakiwemo wajumbe wa bodi ya mfuko, watumishi wa hospitali ya mkoa na wananchi wengine. Umoja wa yeboyebo una jumla ya wanachama zaidi ya 400.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad