HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, March 1, 2012

Benki ya NBC yakutana na Wahariri Wakuu na Wahariri wa Habari za Biashara jijini Dar

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru akizungumza na baadhi ya wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakati wa hafla iliyoandaliwa kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro
jijini Dar es Salaam jana.
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki ya NBC, Mwinda Kiula Mfugale akizungumza na katika hafla hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (kulia) akisalimiana na baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari katika hafla aliyowaandalia katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam jana.
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki ya NBC, Mwinda Kiula Mfugale akizungumza na baadhi ya waandishi wakati wa hafla hiyo.
Mmoja wa wahariri kutoka Gazeti la Daily News, Masato Masato akiuliza swali katika hafla iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Lawrence Mafuru (hayupo pichani) kwa wahariri wakuu wa habari za biashara na uchumi katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam juzi.
Mhariri wa Gazeti la Habari leo, Mgaya Kingoba akimsikiliza kwa makini, Ankal Michuzi wakati wa hafla hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Lawrence Mafuru wa tatu kushoto akiwa na baadhi ya maofisa wa benki hiyo jana.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad