Ukifika Wilayani Monduli,Mkoani Arusha basi ni lazima ufikie Lodge hii ambayo ipo katikati ya mji huo.
na hizi ndio nyumba yake ambazo zimejengwa kiasili ya watu wa jamii ya Kimasai.
Nikiwa na Kaka Mkubwa,Aboubakar Liongo.
Nikipiga misele kidogo Wilayani humo ili kuufahamu zaidi mji huo.
No comments:
Post a Comment