HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 14, 2012

Michuano ya kombe la NSSF yazidi kushika kasi

Kikosi cha TSN.
Kikosi cha timu ya BTL.
Mshambuliaji wa TSN, Carlos Mlinda (kushoto) akichuana na mchezaji wa Business Time, Martin Peter wakati wa mchezo wa Michuano ya NSSF uliopigwa jana jioni kwenye uwanja wa TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa TSN, Oscar Job akichuana na akitafuta mbinu za kuwatoka walinzi wa BTL, Edgar Nazar kulia na Shaban Mbegu.
Mwamuzi wa mchezo kati ya timu ya TSN na BTL, Liston Hiari akitoa kadi ya njano mara baada ya faulo iliyotokea eneo hilo.
Abubakary Kombo wa TSN (shoto) akichuana na Sunday George wa BTL katika mchezo wa kombe la NSSF jana jioni.
Peter Masasi (shoto) wa TSN akichuana na Mussa Robert wa BTL.
Wachezaji wa TSN wakisalimiana na wachezaji wa timu ya Business Time kabla ya mchezo wa kombe la NSSF katika uwanja wa TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam.
Kikosi cha Timu ya Netiboli cha Free Media.
Mchezaji wa timu ya Netiboli ya Radio Tumaini, Mwajuma Hamisi akiambaa na wakati timu hiyo ilipopambana na timu ya Free Media kwenye mashindano ya NSSF.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad